Onyo la Njaa Kubwa Barani Afrika na Uingizaji Siasa Mateso ya Wanawake na Watoto
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais wa Muungano wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall alisema katika taarifa kwa Radio France International kwamba Afrika itakabiliwa na njaa mbaya sana, ikiwa usafirishaji wa ngano kutoka Ukraine hadi barani hautaregelewa.