Mabadiliko Msingi Yanaweza Kutokea tu kupitia Khilafah kwa Njia ya Utume Pekee
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ilitangazwa jijini Khartoum kuzaliwa kwa muungano mpya wa kisiasa chini ya jina la Muungano wa Majeshi ya Mabadiliko Msingi, na kwamba haja yake kuu ni kukamilisha matakwa ya mapinduzi ya Disemba chini ya kauli mbiu "Kuelekea kwenye mabadiliko ya kitaifa na ya kimsingi yanayoongozwa na raia".