Enyi Waislamu: Ukanda wa Gaza Hashem Unapigwa Mabomu Na Majeshi ya Kiislamu Yamewekwa katika Kambi zao Wakisahau kuwa Wajibu wao ni Kuinusuru na Kuwahami Watu wake
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mayahudi wamekuwa wakiishambulia kwa mabomu Gaza tangu Ijumaa, 05/08/2022, mbele ya macho ya ulimwengu. Wanawaua watu wake na kuharibu majengo yake.