Enyi Watu wa Iraq: Ni Wakati wa Nyinyi Kujichagulia Wenyewe na Kuachana na Utawala Fisadi na Viongozi wake Vibaraka.
- Imepeperushwa katika Iraq
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kiongozi wa vuguvugu la Sadri, Muqtada al-Sadr, alitangaza mnamo Jumanne alasiri, Agosti 30, 2022, katika kongamano lililopeperushwa na idhaa za satelaiti, kumalizika kwa kikao hicho na kujiondoa kikamilifu kutoka Zoni ya Kijani ndani ya saa moja.