Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Afisi Kuu ya Habari: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1443 H – 2022 M

Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi, na sisi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika ukurasa huu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu tutaangazia kwa kina amali hizo, tukimuomba Mwenyezi Mungu (swt) aharakishe kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na Mwenyezi Mungu ni muweza wa hilo, Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema katika yale aliyoyapokea Imam Ahmad katika Musnad yake:

"تكون النبوة فيكم ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون خلافة على منهاج النبوة فتكون ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون ملكًا عاضًا فيكون ما شاء الله أن يكون، ثم يرفعها إذا شاء الله أن يرفعها، ثم تكون ملكًا جبرية فتكون ما شاء الله أن تكون، ثم يرفعها الله إذا شاء أن يرفعها، ثم تكون خلافة على منهاج النبوة، ثم سكت".

"Utume utakuwepo kwenu kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo, kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume, na itakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu iwepo kisha ataiondoa apendapo kuiondoa. Kisha utakuwepo utawala wa kurithishana, utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha utakuwepo utawala wa kutenzana nguvu, utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa apendapo kuuondoa. Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume, kisha akanyamaza."

Ijumaa, 03 Rajab 1443 H sawia na 04 Februari 2022 M

Ar

Kalima ya Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah

Kalima ya Dkt Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah

 

Ili Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na

Mhandisi Salah Eddine Adada

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Kwa Anwani:

"Khilafah ni Tunda Linaloweza Kufikiwa, Basi Harakisheni katika Kulichuma, Enyi Waislamu!"

Jumanne, 28 Rajab Tukufu 1443 H - 01 Machi 2022 M

Bonyeza Hapa

DVD "Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah 1443 H - 2022 M"

Ili Kupakua DVD

Bonyeza Hapa

#أقيموا_الخلافة Af Facebook Afg Twetter Afg Inst
#الخلافة_101 Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

#ReturnTheKhilafah

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

YenidenHilafet#

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

TurudisheniKhilafah#

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

#خلافت_كو_قائم_كرو

Af Facebook Afg Twetter Afg Inst

Semina ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

"Vidokezo vya Khilafah Ijayo!"

Jumamosi, 25 Rajab 1443 H - 26 Februari 2022 M

Bonyeza Hapa ili Kupata Angazo Kamili

Afisi Kuu ya Habari: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake katika Kumbukumbu ya 101 ya Kuvunjwa Khilafah

 Wilayah Pakistan

Kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP Kunabainisha kuwa Vyama vyote vya Kidemokrasia Vinalinda Maslahi ya Wakoloni.

7 Rajab 1443 H -  08 Februari 2022 M

Afisi Kuu ya Habari

  Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Chazindua Kampeni ya Kimataifa: “Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake”

01 Rajab 1443 H - 02 Februari 2022 M

 Malaysia

Hizb ut Tahrir / Malaysia Yazindua Kampeni
"Uislamu Kaffah Chini ya Khilafah"

01 Rajab 1443 H - 02 Februari 2022 M

Wilayah Afghanistan

Kushughulikia Matatizo ya Kiuchumi ya Afghanistan Haiwezekani Bila Utabikishaji wa Kina wa Uchumi wa Kiislamu!

19 Jumada al-Akhir 1443 H - 22 Januari 2022 M

Wilayah Sudan

Hakuna Kheri Yoyote Inayotarajiwa kutoka kwa Wajumbe wa Amerika na Ujumbe wa Usalama wa Umbile la Kiyahudi, kwa kuwa wao ni Maadui!

18 Jumada al-Akhir 1443 H - 21 Januari 2022 M

 

Kuihusu Hizb ut Tahrir: Kazi Yetu na Ruwaza Yetu

Dr. Abdur-Rafay

11 Shaban 1443 H- 14 Machi 2022 M

Hofu ya Wamagharibi kwa Khilafah Inawasukuma Kutumia Nguvu zao ili Kuizuia

Dkt. Ahmad Hassouna

3 Sha'aban 1443 H - 06 Machi 2022 M

Mgogoro wa Madeni ya Kenya: Wanasiasa Wanatupiana Lawama huku Wakidanganya Watu kwa Kutofichua Hasa Tatizo Msingi Lililoko (Ubepari)

Shabani Mwalimu

Mwakilishi kwa Vyombo Vya Habari wa Hizb ut-Tahrir Kenya

- 06 Machi 2022

Dola ya Kiislamu: Suluhisho kwa Ukandamizaji wa ‘Waliowachache’

Fatima Musab

Mwanacham wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

27 Rajab 1443 H - 28 Februari 2022 M

Dola ya Kiislamu, Ukafiri wa Wazi na Dar ul Kufr

Usman Adil

- 22 Februari 2022 M

 Shariah ndio Suluhisho Pekee la Kuwahifadhi Wanawake wa Kiislamu Kutokana na Unyanyasaji wa Kijinsia

Sarah Mohammed – Amerika

Khilafah Itawalinda Wanawake Dhidi ya Ukatili Sio Upitishaji wa Sheria za Kisekula

Ali Nassoro Ali

Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

15 Rajab 1443 H - 16 Februari 2022 M

Ni Khalifah Pekee Anayejibu Mahitaji ya Wanawake wa Kiislamu

Zehra Malik

07 Rajab 1443 H - 08 Februari 2022 M

 Uislamu ndio Wokovu Pekee kwa Watoto wa Tharparkar

Ikhlaq Jehan

25 Jumada al-Akhir - 28 Januari 2022 M

   
 

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Hotuba ya Imran Khan Yathibitisha Kufeli Kiulimwengu kwa Nidhamu ya Kiuchumi ya Kirasilimali Ambapo ni Khilafah Pekee ndio Inayotoa Kimbilio!

Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi

29 Rajab 1443 H - 02 Machi 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan:

Khutba ya Ijumaa "Sifa za Mtawala katika Uislamu na Mas'uliya ya Umma!"

Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi

03 Rajab 1443 H - 04 Februari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Khalifah ni Ngao ya Ummah wa Kiislamu!

Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi

25 Jumadal al-Akhirah 1443 H - 28 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: 

Komesha Utawala wa Kidhalimu, Simamisha Khilafah!

Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi

19 Jumada al-Akhir 1443 H - 22 Januari 2022 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: 

Kuanguka kwa Khilafah Kwahitaji Kazi ya Kurudi Kwake!

Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi

11 Jumada al-Akhir 1443 H - 14 Januari 2022 M

 Al-Waqiyah TV:

Silsila "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.