Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Uingereza: Uhadaifu wa Nadharia ya Mataifa Mawili!

Waingereza walidai kuwa mataifa mawili yaliishi nchini India, Waislamu na Mabaniani. Walidai kwamba hawakuweza kuishi kama taifa moja ndani ya dola moja. Kujibu hili, wazo la Pakistan liliibuka ili kuigawanya India katika dola mbili.

Je, nadharia ya "mataifa mawili" ilikuwa halali?

Na: Mazhar Khan

Alhamisi, 05 Jumada al Akhir 1444 H - 29 Disemba 2022 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.