Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uingereza

"Udungaji Kisu wa Rushdie "Jinsi ya Kujibu?!"

Kumtukana Mtume (ﷺ) kamwe hakuwezi kuwa na mjadala kwa Waislamu kote duniani na “Uhuru wa Kuzungumza” si lolote ila ni kwa manufaa ya kisiasa tu.

Waislamu hawaogopi kujadili juu ya ubatili wa uhuru wa kuzungumza na umbile lake la mgawanyiko.

Jumamosi, 15 Muharram Tukufu 1444 H - 13 August 2022 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.