Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunis: Muhtasari wa Moto mkubwa katika Soko la Henna Jijini Gabes!

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia ilifanya ziara ya kukagua moto mkubwa uliozuka katika soko la Henna jijini Gabes.

Ee Mwenyezi Mungu, wasamehe watu wetu wa Gabes na uwe pamoja nao wala usiwe dhidi yao, Ee Mwenyezi Mungu, Ee Mwenyezi Mungu, ujaaliye moto huu uwe baridi na salama kwa watu wetu jijini Gabes.

Ijumaa, 06 Shawwal 1443 H - 06 Mei 2022 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.