Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Maandamano ya Deir Hassan ya Kulaani Utekaji Nyara wa Ustadh Nasser Sheikh Abdul Hai na Maajenti wa Serikali ya Uturuki!

Baada ya swala ya Ijumaa, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Deir Hassan viungani mwa Idlib kulaani utekaji nyara wa vikosi vya usalama vya Hay'at Tahrir al-Sham (maajenti wa serikali ya Uturuki) ya Ustadh Nasser Sheikh Abdul Hai, mwanachama wa afisi ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria.

Ijumaa, 06 Safar Al-Khair 1444 H - 02 Septemba 2022 M

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.