Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

“Maandamano ya Atma dhidi ya Kauli za Khiyana za Serikali ya Uturuki!”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa mpakani wa Atma kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya hivi majuzi kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, kwa anwani “Erdogan amekwenda na Mwenyezi Mungu amebakia, mtegemee yeye. Hakika akuna mshindi ila Mwenyezi Mungu.”

Ijumaa, 14 Muharram Tukufu 1444 H - 12 Agosti 2022 M

- Kalima ya Sheikh Ahmad Hajj Muhammad Wakati wa Amali ya Kisimamo -

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.