Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Maandamano ya Sahara dhidi ya Kauli za Khiyana za Serikali ya Uturuki!

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa Allepo kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad kwa anwani “Erdogan amekwenda na Mwenyezi Mungu amebakia, kwa hivyo mtegemeeni Yeye na muuangushe utawala huu wa kihalifu na musimamishe Khilafah kwa njia ya Utume inayomridhisha Mola wa walimwengu”.

Ijumaa, 14 Muharram Tukufu 1444 H - 12 Agosti 2022 M

- Kalima ya Mhandisi Ali Abdul Rahman Wakati wa Maandamano -

- Kalima ya Sheikh Shaheed Wakati wa Maandamano -

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.