Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Kisimamo cha Babika “Ukombozi wa Al-Aqsa Unaanzia kwa Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Khilafah!”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Babika viungani mwa Aleppo, kisimamo cha kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa ulio mateka kwa anwani “Ukombozi wa Al-Aqsa Unaanzia kwa Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Khilafah!”

Jumamosi, 15 Ramadhan Tukufu 1443 H – 16 Aprili 2022 M

- Kalima Zilizotolewa Wakati wa Maandamano –

 Kamila ya Ustadh Fadi Abu Jamal

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.