Ijumaa, 10 Shawwal 1445 | 2024/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

“Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi.” [An-Nisa 174]

Alama Ishara "#QuranBookClub," imepata umakinifu mkubwa katika Tiktok na maoni milioni 1.9. Ibara hii inayotamba katika Tiktok iliibuka miongoni mwa Waamerika wachanga ambao wanashangazwa na uvumilivu wa watu wa Palestina na wanaigeukia Quran kujaribu kuelewa vizuri zaidi yale yanayotokea huko Gaza na kuonyesha mshikamano na Waislamu wa Palestina.

Soma zaidi...

Chagua Baina ya Udhaifu na Matumaini

Waislamu wako zaidi ya bilioni mbili duniani. Kwa kuongezea, watafiti wengi wanaasharia kwamba Waislamu watawashinda kiidadi Wakristo kufikia mwaka 2050. [World Population Review, 2023]. Ardhi za Waislamu zimejaa rasilimali tele kama vile asilimia 70 ya mafuta, asilimia 50 ya gesi na rasilimali asili nyingine kando na kuwa rasilimali ya watu wengi. Hata hivyo, suali linalotia kizungumkuti ni kwa nini Waislamu wanataabika duniani kote licha ya kuwa na uwezo huo?

Soma zaidi...

Viongozi Viziwi, Mabubu, Vipofu wa Ulimwengu wa Kiislamu wanaipa Marekani na Dola ya Kiyahudi Ruhusa ya Kutekeleza Mauwaji ya Halaiki kwa Wapalestina

Katika kipindi cha wiki chache zilizopita na ndani ya masaa 48 yaliyopita, dola ya Kiyahudi imeivamia Gaza kwa kiwango kisicho cha kawaida ambacho hakijashuhudiwa katika kumbukumbu za sasa. Kigugumizi kilichoushika uongozi wa ulimwengu wa Kiislamu kimevunja rekodi zote za kukosa uaminifu na usaliti.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu