Jumamosi, 11 Shawwal 1445 | 2024/04/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria “Kisimamo cha Usiku cha Mji wa Armanaz dhidi ya Kauli za Khiyana za Serikali ya Uturuki!”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo cha usiku katika mji wa Armanaz viungani mwa Idlib Magharibi kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya hivi majuzi kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad

Soma zaidi...

Ili Kupata Mabadiliko Halisi, Achaneni na Demokrasia na Itisheni Nusra kwa ajili ya Khilafah

Vikao vya mahakama moja ya wilaya ya Islamabad 17 Agosti 2022 iliidhinisha kuwekwa rumande kwa siku mbili kwa kiongozi wa PTI, Shahbaz Gill, kwa ombi la polisi wa mji mkuu. Hakimu pia alielekeza afisa wa upelelezi, kupanga uchunguzi wa matibabu wa Bw. Gill, na kuwasilisha ripoti kwa mahakama hiyo.

Soma zaidi...

Wale Wote Wanaotaka Uhuru kutokana na Marekani, Lazima Wafanye Kazi ya Kusimamisha Tena Khilafah kwa Njia ya Utume

Mjadala wa nchi nzima, kutoka kwa raia hadi kwa watu walio mamlakani, umepanuka kutoka kwa kuanguka kwa Rupia mbele ya dolari ya Kimarekani, na utumiaji wa anga ya Pakistan kwa droni za Amerika, hadi jinsi Pakistan inaweza kuwa huru kikweli, wakati tunabeba hasara kubwa kwa uchumi wetu, elimu, afya na usalama.

Soma zaidi...

Mapendekezo ya Kongamano la Majadiliano ya Ombi la Watu wa Sudan Hayakutengana na Hazina ya Mfumo wa Kibepari wa Kidemokrasia

Kongamano la majadiliano ya pande zote ya kile kinachoitwa Wito wa Watu wa Sudan lilihitimisha kazi yake jana, Jumapili, kwenye Ukumbi wa Urafiki jiji Khartoum, na lilitoka na mapendekezo kadhaa, mengi yakiwa ni matakwa, na mazungumzo ya kujirudia ambayo hayakutengana na hazina ya mfumo wa kibepari wa kidemokrasia.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu