Kwa Watu Wetu wa Sudan na Algeria Tangazeni kuwa: Ni Kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, sio Mashariki au Magharibi, bali ni kwa Serikali ya Khilafah
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hakuna tofauti baina ya mzozo ulioko Sudan na Algeria. Matukio yote yanafanana na yale yaliyotokea Misri kwa namna ambavyo maafisa wakijeshi wachache walivyokuwa makini kusimamisha nguzo za utawala utakao wawezesha kudhibiti shingo za nchi na watu wake.