Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano huko kwa makutano ya barabara ya Karameh kwa kichwa, "Hakuna Uokovu kwa Mapinduzi ya Ash-Sham isipokuwa katika Utawala wa Uislamu"

Maandamano ya watu wengi yalizinduliwa baada ya sala ya Ijumaa kwenye msikiti katika kambi ya Atma, makutano ya barabara ya Karameh nje kidogo ya mji wa Idlib yenye jina "Hakuna Uokovu kwa Mapinduzi ya Ash Sham Isipokuwa katika Utawala wa Uislamu".

Ijumaa, 06 Jumada al-Akhr 1441 H - 31 Januari 2020 M

- Kauli ya Ndugu Khalid Abu Asteef katika Maandamano –

- Maandamano baada ya Swala ya Ijumaa –

- Maneno ya Mapinduzi yetu ni ya Kiislamu katika Maandamano katika Kambi ya Atma -

Minbar ya Ummah: Ilani ya kutohusika: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watu wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watu wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 16 Mei 2020 17:52

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu