Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Sahara "Ufunguaji wa Vivuko ni Usawazishaji Mahusiano Pamoja na Serikali"

Kisimamo katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Ufunguaji wa Vivuko ni Usawazisha Mahusiano Pamoja na Serikali"

Ijumaa, 13 Sha'aban 1442 H sawia na 26 Machi 2021 M

- Kalima ya Mhandisi Ali Abdulrahman  katika kisimamo cha kijiji cha Sahara -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.