Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Kambi za Atma "Kifo au Udhalilishaji kwa Daraa, Kamwe Hatutaitelekeza"

Kutoka kwa kisimamo katika eneo la kambi za Atma magharibi mkabala na kijiji cha Ataa kwa anwani "Kifo au Udhalilishaji kwa Daraa, Kamwe Hatutaitelekeza"

Jumatatu, 19 Jumada Al-Akhirah 1442 H sawia na 01 Februari 2021 M

- Kalima ya Sheikh Ahmad Abdel Jawad wakati wa Kisimamo -

- Mikutano juu ya Mambo ziada ya Kisimamo -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.