Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Tangazo la Natija ya Kuutafuta Mwandamo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa Mwaka 1443 Hijri

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwingi  Kurehemu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, aliyeteremsha Qur'an na akatuchagulia Uislamu kuwa ndio Dini yetu, na rehma na amani zimshukie yule aliye anzisha Umma wa Kiislamu, bwana wa viumbe, bwana wetu Muhammad na juu ya familia yake na maswahaba zake wote.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina pamoja na Wanaume, Wanawake, na Koo Yatangaza Kukataa katakata Sheria ya Ulinzi wa Familia na CEDAW!

Katika mkusanyiko mkubwa wa taadhima uliofanywa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina mnamo siku ya Jumatano, Machi 23, 2022, watu wa Palestina walitangaza kukataa kata kata Sheria ya Ulinzi wa Familia inayotokana na CEDAW, ambayo Mamlaka ya Palestina inakusudia kuiidhinisha.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Angazo la Kongamano la Kiulimwengu “Je, Ni Katiba Gani Tunayoitaka?” lililofanywa chini ya usimamizi wa Muungano wa Kimataifa wa Mawakili wa Kiislamu Wanaoshiriki katika Kongamano la Katiba Wanaotaka "Katiba ya Kiis

Kwa kuzingatia mabishano yanayoendelea kati ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini, kuhusu umbile la mfumo wa kisiasa nchini Tunisia na katiba inayoudhibiti,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu