Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Al-Waqiyah TV: Kampeni Pana yenye Kichwa “Je, Khilafah Inasimamishwa Vipi?”

Tarehe mosi ya Rajab Al-Muharram mwaka huu wa 1444 Hijria, kampeni yetu itazinduliwa katika chaneli ya Al-Waqiyah ili kuwakumbusha Waislamu yale ambayo Mwenyezi Mungu amewaamrisha juu ya kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alitubashiria.

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Chazindua Kampeni ya Kimataifa: “Mabadiliko Halisi ni kwa kupitia Ulinganizi wa Khilafah PEKEE”

Ulimwengu uko katika machafuko na giza, karibu na mbali. Mateso na taabu za wanadamu zinaongezeka siku hadi siku huku mataifa yakiingia kwenye mgogoro mmoja hadi mwingine. Umaskini, utovu wa usalama wa kifedha, njaa, mauaji ya halaiki, uvamizi wa kikatili, udikteta, vita vya kinyama, kuvunjika kwa familia, maisha yenye uharibifu, milipuko ya uhalifu, unyanyasaji dhidi ya wanawake, matatizo ya afya na elimu na matatizo mengine yanayolemaza yanakumba nchi kote ulimwenguni

Soma zaidi...

Ziara ya Donald Lu nchini Bangladesh Inafichua Sura ya Halisi ya Demokrasia na Urithi wa Watawala wa Kisekula wa Utiifu kwa Mabwana wa Kikoloni

Ndani ya wiki moja ya ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Marekani kwa Asia Kusini, Admiral Eileen Laubacher, afisa mwengine wa ngazi ya juu wa Marekani Donald Lu, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Asia ya Kusini na Kati, alitembelea Bangladesh kwa siku mbili kuanzia Januari 14 hadi Januari 15.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu