Al-Waqiyah TV: Ujumbe wa Haraka “Je, Palestina si mama yako, Ewe Erdogan?!”
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu zengine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo kwa Hijab na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.
“Elizabeth Amekufa Huku Uhalifu wa Dola Yake Haujafa!”
Pongezi kutoka kwa Wabebaji Ulinganizi Kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Iliyobarikiwa 1443 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Dawah Kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul Fitr Iliyobarikiwa 1443 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa mwaka huu 1443 H - 2022 M silsila mpya ya video katika vipindi vya Al-Waqiah TV kwa anwani
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila mpya ya video kutoka kwa vipindi vya Al-Waqiyah TV zenye kichwa "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"
Kikao Maalum juu ya risala iliyotumwa na Hizb ut Tahrir pamoja na ujumbe wa Mashababu wake bora kwenda kwa viongozi watano wa Taliban mwanzoni mwa mwezi Septemba 2021.
Kadhia za Ummah "Mkasa wa Waislamu nchini India"