Ijumaa, 10 Shawwal 1445 | 2024/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wataalamu wa Haki Waonya dhidi ya Kutenganishwa kwa Nguvu kwa Watoto wa Uyghur nchini China

Mnamo tarehe 26 Septemba 2023, wataalamu watatu huru wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa waliripoti kwamba kuna utenganishwaji wa lazima na sera za lugha kwa Uyghur na watoto wengine wa Kiislamu walio wachache katika shule za bweni zinazomilikiwa na serikali katika mkoa wa Xinjiang nchini China, ambapo ni sawa na kuoanishwa kwa lazima ndani ya thaqafa ya Kichina.

Soma zaidi...

Utenganishaji Mamlaka? Kweli?

Hivi karibuni, suala linalohusisha na mfumo wa sheria wa nchi liligonga vichwa vya habari kwenye vyombo vya habari. Mahakama Kuu ya Malaysia ilitoa ombi kutoka kwa waendesha mashtaka kuondoa mashtaka yote ya ufisadi dhidi ya Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Ahmad Zahid Hamidi katika kesi yake ya ufisadi wa Wakfu wa Charity.

Soma zaidi...

Dhalimu wa Uzbekistan Ajaribu Kukandamiza Madhihirisho ya Uislamu katika Jamii

Mnamo tarehe 16 Septemba Radio Liberty iliripoti: "Kampeni dhidi ya ufugaji ndevu na uvaaji hijab kwa mara nyingine tena imepamba moto nchini Uzbekistan. Picha za video zilizotumwa kwa Ozodlik mnamo tarehe 13 Septemba zinaonyesha wanafunzi wa kike katika Chuo cha Benki huko Andijan, waliovaa hijab, wakiambiwa wafunge hijab zao tofauti, mafundo yakiwa mgongoni.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu