Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Maandamano ya Kijiji Atma "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Atma Magharibi viungani mwa Idlib, baada ya swala ya Ijumaa,  kwa anwani "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"

Ijumaa, 26 Muharram Al-Haram 1443 H sawia na 03 Septemba 2021 M

- Kalima ya Ndugu Abu Kanjo katika Maandamano Hayo -

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.