Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Idlib Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Halaiki ya watu wa mji wa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Jumatano, 11 Rabi' ul-Awwal 1442 H, sawia na 28 Oktoba 2020 M

- Kalima ya Ndugu Ridhwan Kholi Wakati wa Amali za Maandamano -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 19 Novemba 2020 22:56
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.