Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Pakistan: Chini ya Uislamu, Pakistan Itakwepa Mtego wa Madeni!

Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.

Mnamo 2011, deni la Pakistan lilikuwa rupia 10 trilioni. Mnamo 2021, deni la Pakistan ni takriban 40 trilioni rupia. Katika Uislamu, riba imeharamishwa kabisa. Mwenyezi Mungu (swt) amesema,

 [يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَذَرُوا مَا بَقِيَ مِنَ الرِّبَا]

“Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia.” [Surah al-Baqarah 2: 278]. Khilafah itafanya matumizi juu ya yaliyo wajibu, sio yaliyo haramishwa.

#KhilafahEndsAmericanEconomicOrder

Ijumaa, 07 Rabi-ul Akhir 1443 H - 12 Novemba 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu