Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / India Bara dogo la India:

Kampeni kubwa ya kukumbuka kuanza kwa Vita vya Dunia vya Kwanza na kuvunjwa kwa Khilafah

Hizb ut Tahrir ndani ya Bara dogo la India imeandaa ndani ya siku zijazo kampeni kubwa ya kukumbuka kuanza kwa Vita vya Dunia vya Kwanza ambavyo mwisho wake kulipelekea kuvunjwa kwa Khilafah na kuvunjwa kwa nguzo za Dola ya Kiislamu ambayo ilikuwa imeasisiwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kwa kutumia wasaliti baadhi katika Waarabu waliowakilishwa na khaini Hussein bin Ali na watoto wake na Waturuki wakiwakilishwa na muhalifu wa karne, aliyefariki Mustafa Kamal.

Twamuomba Mwenyezi Mungu aufaulishe ujumbe wa Uislamu na Waislamu

Kwa Habari Zaidi Zuru Ukurasa wa Facebook

Jumatatu, 04 Rabi al Awwal 1440 H - 12 Novemba 2018 M

- Kampeni ya Uzindushi kwa Ummah na Malengo yake –

 Kitangulizi

Yaliyofichika kuhusiana na Vita vya Dunia!

Kitangulizi

Vita vya Dunia vya Kwanza na Khilafah

Kitangulizi

Kwa Nini Khilafah Uthmaniya iliingia Vitani?

Kitangulizi 

Nini Khilafah?

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 16 Februari 2020 13:09
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.