Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Canada: Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu, “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Konstantinopoli, Amiri wake ni Amiri bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”

Hizb ut Tahrir / Canada ilitoa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 20, Jumada al –Awwal 1441 H – 15 Januari 2020 M

Ujumbe wa Hizb ut Tahrir / Canada ulitembelea Ubalozi wa Uturuki mjini Toronto kuwasilisha toleo la Hizb ut Tahrir nchini Canada kuhusiana na Maadhimisho ya “Kukombolewa kwa Konstantinopoli”

Jumatatu, 25 Jumada al-Awwal 1441 H -  20 Januari, 2020 M

Ili Kusoma Toleo: Bofya hapa

Mahojiano

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli – Masomo ya Sisi Kujifunza

Jumatano, 20 Jumada al Awwal 1441 H -  15 Januari, 2020M

Ili kupata habari zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir/ Canada:

Ukurasa wa Facebook Hizb ut Tahrir/ Canada
Akaunti ya Youtube ya Hizb ut Tahrir/ Canada

Alama Ishara za Kampeni:

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.